Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO MICHUNGWANI. NI UPANDE WA KULIA UKITOKEA UBUNGO
UMBALI NI KILOMETA 1 TUU. 1 BODA NI 1000/= KUTEMBEA DAKIKA 15
BEI NI MILIONI 35#MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 600
KIWANJA KIPO TAMBALALE HAKIHITAJI KUCHONGA
KINAFAA KUJENGA APATIMENT ZA WAPANGAJI AU NYUMBA YA KUISHI MWENYEWE
KUONYESHWA SITE 30,000/=
What saapp Number 0689-547258