Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA 💥 KIWANJA 💥 KIZURI SANA TAMBARARE
KINAUZWA KIPO JIRANI KABISA NA BARABARA KUU
💥 KIWANJA HIKI KINASIFA ZIFUATAZO
# KIPO JIRANI NA BARABARA
#KIPO TAMBARARE
# KINAFAA KWA MAKAZI
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA ZA BIASHARA
UKUBWA WA ENEO NI METERS 18 / 20
BEI 25,000,000/= MILIONI
BEI NI MILIONI 25 MAONGEZI YAPO MAZURI TUU
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI JIRANI NA BARABARA KUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI DK 12 KWA MIGUU
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
0655256419