Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
IPO KIMARA TEMBONI
BEI TSH MILION 55 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 20X18
UMILIKI: MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO
MAJI DAWASA YAPO
PARKING IPO
IPO NDANI YA FENSI
πΉπΏ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 20,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315