Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI NA BADO MPYA INAUZWA MILIONI 67 MAONGEZI YAPO USIJALI FIKA SITE 👈
KIMARA SUKA YENYE SIFA HIZO
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER, SEBULE KUBWA, JIKO, DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI 🚋
PIA KUNA BOY CORTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO UNFINISHED
UKUBWA WA KIWANJA SQM 450 PAMEPIMWA ULASIMISHAJI NA KUNA MAWE
HATI MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
UMBALI KUTOKA LAMI KM 2.5
BEI MLIONI 67 MAONGEZI YAPO
KUONYESHWA NYUMBA 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258