Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YENYE ENEO KUBWA INAUZWA PAMOJA NA FREMU ZAKE ZIPO 5 KUBWA
๐ก NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YAPO
PIA KUNA SERVANT COTER YA VYUMBA 2 NA SEBULE NA JIKO
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA (FULL DOCUMENTS)
UKUBWA WA ENEO NI :- UREFU NI METERS 40 NA UPANA NI METERS 30
BEI NI MILIONI 120 MAONGEZI YAPO
๐กNYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1
KUONYESHWA NYUMBA HII NDUGU MTEJA GARAMA YAKE GARAMA YAKE NI ELFU 30
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258