Plot for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA - KINYEREZI SHULE
- Ukubwa: 360 sqm
- Bei: TZS 7,000,000 (Milioni Saba)
- Eneo: Kinyerezi Shule, Dar es Salaam
- Maelezo:
- Kiwanja kiko katika eneo linalokua kwa kasi, linalofaa kwa ajili ya makazi au Biashara.
- Upatikanaji wa huduma za msingi kama maji, umeme na barabara unafikiwa kwa urahisi.
- Hati ya mauziano, imenyoka.
- Umbali rahisi kutoka mjini, eneo salama na la kirafiki.
Mawasiliano:
- Piga simu/WhatsApp: +255688412890
- Tembelea kiwanja leo kwa uchunguzi wa ana kwa ana!