Plot for sale at Kisesa, Mwanza


NYUMBA INAUZWA
IKO-MWANZA
MAHALI-KISESA
1.Ukubwa wa kiwanja sqm 1034
2. Kuna nyumba 6 zenye vyumba viwili kila moja. Kila nyumba ina ukubwa wa Mita za ujazo 40. Kika Chumba kina ukubwa wa Cm 3250 kwa 2766
3. Nyumba ya hotel/baa/mapokezi /appartment
4. Mfumo wa maji Safi, Majitaka na umeme tayari. Mfumo wa TV tayari.
5. Kuna nyumba ya kufulia nguo inayobeba tenki la maji
6. Skimming ndani na nje ya majengo yote tayari. Bado kupakia rangi.
7. Tiles za sakafuni vyumbani, ukumbini na kuta za vyoo vyote tayari
8. Kuna milango 15 iliyotengenezwa kwa mbao za Mkongo. Bado haihafungwa.
9. Kazi ya landscaping imeanza kwa kupanda nyasi/majani. Paving blocks bado
10. Kuna uzio na ndani kuna nafasi inayotosha maegesho ya magari madogo 10
11. Kiwanja kipo baada ya hifadhi ya barabara kuu
12. Kuna mchoro na building permit kutoka halmashauri na fire: Ipo Mita 800 upande wa kushoto wa barabara iendayo Usagara kutoka roundabout ya Kisesa
BEI INAUZWA TSHS MIL 200
Maongezi yapo
___________________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-766063752
+255-685601245
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-766472225
___________________