Plot for sale at Kivule, Dar Es Salaam


#NYUMBA MBILI Z I N A U Z W A
#BEI: MILLION 70 MAONGEZI YAPO
#ZIPO: KIVULE MATEMBELE YA PILI / MISITU
✅NYUMBA YA KWANZA
-SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA, JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
-IMEKAMILIKA GYPSUM, TILES, UMEME NA MAJI
✅ NYUMBA YA PILI
- INA VYUMBA 7 VILIVYOFIKIA KWENYE LENTER
✅NJE PIA KUNA MABANDA YA KUKU
✅HATI - MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
✅UKUBWA WA ENEO NI 570SQM
KUPELEKWA NI 30K UTAKAGUA NYUMBA SIO CHINI YA 4 ZENYE HADHI SAWA
☎️0788077337 ☎️0625637254
Follow nyumba_zinazouzwa IG