Plot for sale at Lugoba, Pwani
👉BAR& LODGE INAUZWA
👉MAHALI LUGOBA TOWN
👉 BAR HII IMEKAMILIKA KASORO SEHEMU KADHAA NA NYINGINE BADO ZIPO KWENYE MATENGENEZO KAMA SEHEMU YA VIP NA BAADHI YA VYUMBA
👉MTEJA UTAACHIWA KILA KITU HAPO UKINUNUA KUANZIA MAFRIG, VITI, MAJIKO, MAKRET NA VINGINE
👉 INA UKUBWA WA HEKA MOJA NA ROBO
👉ENEO LA PARKING LIPO KUBWA
👉 COUNTER ✅
👉 KITCHEN ✅
👉VIP NDOGO✅
👉IPO BARABARANI KABISA KAMA
👉UKUBWA WA ENEO NI SQM 6000
👉BEI 180 MILLION (MAONGEZI YAPO)