Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA KALI SANA INAUZWA BINAFSI
Ina vyumba vitatu (3) vyote ni master, Dinning sitting, jiko, stoo public toilet & bafu na study room
Full makabati jikoni na vyumbani
Full A/C vyumba vyote
Servant quarter zipo mbili
Kuna Chumba self na jiko na chumba self kingine
Counter ya kisasa na Choo cha public
Electric Fence, garden na maji dawasco
Pia nyumba Ina barabara pande mbili na mageti mawili
Eneo ni la kutosha kufanya chochote unachotaka
Ukubwa-sqm 2800
Umiliki- hati miliki
Bei-ml 500 maongez kidogo
Location- madale mivumoni dar es salaam Tanzania
Umbali-km 1.2 kutoka main road madale mwisho
0621664146