Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI KINAUZWA MADALE
Kinatazama barabara kubwa ya madale bunju
Kina barabara 2, ya ndani na kubwa ya kutoka madale kupitia mbopo mabwepande hadi bunju B
Kiwanja Kimepimwa bado Hati tu
Ukubwa-sqm 2000
Matumizi- makazi & biashara
Bei-ml 140 maongez
Location- madale
Umbali-km 2 kutoka main road madale mwisho
Service charge elf 30
Call / WhatsApp +255769311494