Plot for sale at Majohe, Dar Es Salaam


PAGALE LA VYUMBA 8, LINAUZWA NA BANK,TSHS.15 MILIONI, MAJOHE-GONGOLAMBOTO.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni jirani na Chuo cha KIA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.