Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba kali sana inauzwa,
Ukubwa wa Kiwanja: 742
Mita 200 toka barabara kubwa ya Mpigi Magoe
Location:Mbezi Mpigi Magoe
Umiliki:Hati miliki
Bei:Milioni 150,
Vyumba vyote 3 Master
Study room 1
Sitting room
Dining room
Jiko
Store ya ndani
Store ya nje 1
Choo cha nje 1
Fence ya umeme
CCTV Cameras
Mfumo wa maji ya moto wa kutumia solar