Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


BONGE LA JUMBA LINAUZWA MBEZI MSAKUZI KWA RIPELANYA
JUMBA NI LA VYUMBA V5 VYUMBA V3 MASTER V2 SINGLE
JUMBA LINA SEBULE KUUBWAAA DAINING JIKO PUBLIC STOO
JUMBA LINA MASTER KUBWA SANAA
PIA INA SEHEMU KUBWA YA KUKAA NA WAGENI NYETI MKAPANGA MAMBO YENU HUKU MKAWAACHA WATOTO WAENDELEE NA STORY NYINGINE
JUMBA LINA UKUBWA WA HEKA MOJA SQM 4000
BEI MIL 140
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
JUMBA LOTE LIPO NDANI YA FENSI
UMBALI KM 1 TOKA BARABARA KUU
JUMBA NI LA KUMALIZIA
JUMBA LIPO MTAA MZULI SANA ULOTULIA ULOJENGEKA KIUMAZUBUTI SANA
KARIBU SANA MTEJA WAHI UTOE OFFA TUKUHUDUMIE
Call&watsapp 0769279936