Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


NAUZA YARD NA MAGODAUNI MAWILI MBEZI LUGURUNI DAR ES SALAAM 🇹🇿
➡️YARD
--INA ENEO LA SQM 8378
--KUNA OFISI NDOGO
--KUNA NYUMBA YA MSIMAMIZI
--BEI NI MILLION 400
➡️ MAGODAUNI
--YAPO MAWILI ( DOGO NA KUBWA )
--ENEO LOTE NI SQM 7007
--KUNA BWAWA LA SAMAKI
--KUNA NYUMBA YA WAFANYAKAZI
--BEI NI MILLION 480
➡️ MIUNDOMBINU ZOTE ZIPO, MALORI YANAFIKA MPAKA NDANI, MAJI YA DAWASSA YAPO, UMEME UKUBWA UPO.
➡️ PANAFAA KWA UWEKEZAJI WOWOTE.
➡️KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NDUGU MTEJA 🙏
CONTACT
#0742260844