Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


TSHS MIL 450, KASRI LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH MASANA
MITA 800 TOKA BARABARA KUU YA LAMI INAYOELEKEA GOBA NA NI ZEGE MPAKA KWENYE KASRI
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 816
NYARAKA ZA UMILIKI INA HATI SAFI
NYUMBA KUBWA YA GHOROFA
IMEJENGWA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
YENYE;-
Vyumba vi4 vya kulala vyote ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Library, Stoo & Public Toilet
MIUNDOMBINU YA MAJI & UMEME IMESHAVUTWA
NYUMBA & NEIGHBORHOOD NZURI IMEBAKISHA FINISHING KWA UJUMLA HAINA MGOGORO, SIO URITHI WALA HAINA MKOPO BENKI
SUITABLE KWA WALE WANAOTAKA NYUMBA & LOCATION YENYE VIEW CLASSIC
BEI INAUZWA TSHS MIL 450
MAONGEZI YAPO
KWA MAWASILIANO PIGA;-
+255 768 914 118
+255 718 936 416