Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
‼️ OFAAA ‼️ OFAAA ‼️ OFAAA ‼️ HAYA WAHINI MAPEMA NDUGU WATEJA 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🔥 👈
MILIONI 33 MAONGEZI YAPO KIDOGO USIJALI FIKA SITE 👈
JAMANI NDUGU WATEJA HII NYUMBA UKINUNUA MALEKEBISHO MACHACHE TU NA PIA INA ENEO KUBWA HIYO BEI NI YA KUTUPA KIFAACHO MTU CHAKE
MAHALI ILIPO MBEZI MWISHO MALAMBA MAWILI👈
UMBALI KUTOKA BARABARA KUU YA KUELEKEA KINYEREZI DK 5 KWA MGUU
UKUBWA WA KIWANJA 20 KWA 30
‼️HII NYUMBA ANAISHI MWENYEWE KUONA NDANI INARUHUSIWA KABISA
NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
SITTING ROOM KUBWA SANA
JIKO KUBWA
TAIRIZ JIPSUM MADIRISHA MAKUBWA YANA HEWA SAFII KABISA
UMEME UPO MAJI DAWASA YAPO BADO KUVUTA TU
BEI MILIONI 33 MAONGEZI YAPO KIDOGO
MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
NYUMBA HAINA MGOGORO MALI YAKE MWENYEWE KIMFAACHO MTU CHAKE‼️
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258