Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







KIWANJA π₯ KIWANJA π₯ KINAUZWA MBEZI MPIGI MAGOHE
KIWANJA HIKI KIZURI SANA KINAUZWA NA KIPO SEHEMU NZURI SANA BEI NI MILIONI 13 MAONGEZI KIDOGO YAPO NDUGU MTEJA
π KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
#KIPO MTAA MZURI SANA
#KIPO JIRANI NA BARABARA
#KINAFAA KUJENGA NYUMBA ZA MAKAZI AU BIASHARA
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO UMEME,MAJI DAWASA, DHAHANATI NK
KIWANJA HIKI KINA UKUBWA WA METERS 30/20
Bei Million 13 ( Maongezi yapo kidogo)
π«π« KIWANJA HIKI KIPO MBEZI YA KIMARA NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE KITUO MACHIMBO NA KUTOKA KITUO CHA MACHIMBO HADI KWENYE KIWANJA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
Service charge 25,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.