Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA BINAFSI NZURI SANA INAUZWA MBEZI MWISHO NJIA PANDA YA MAKABE NA GOBA (UBUNGO MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Ya Chumba Kimoja,Sebule,Jiko Na Choo
Ukubwa Wa Eneo: SQM 700
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Sana
Bei : 70 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=