Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam




BEI MILIONI 10
KIWANJA KINAUZWA KIPO MBEZI MWISHO NJIA YA KWENDA KINYEREZI KITUO MWANZO MUGUMU
UKISHUKA KWENDA SAYITI BODA BODA 1500
UKUBWA WA KIWANJA MITA 20KWA 20
NI SAWA NA SM 400
BEI MILIONI 10
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO MAJI UMEME
KUPELEKWA KUONA 2500
KARIBU MTEJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















