Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri inauzwa
Mbezi kwamsuguri
Bei milioni 110 maongezi
Sifa yanyumba 🏚️
Barabara inafikika vizur kwenyenyumba
Nyumba inavyumba v4
Ila viwili nimasta
Sebule kubwa
Daining
Jiko
Alafu kunachumba sebule nachoo
Alafu kunachumba nachooyake ndani
Ukubwa waeneo sqmt 500
Kutoka kwamsuguri stend
Ni km 1.5
Bei ML. 110 maongezi yapo
0746 433 854