Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 13
________ BEI IMESHUKA MWENYE NAYO ANAYE UZA ANA SHIDA
_________
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI
_________
KITUO DALAJANI UKISHUKA TU KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 7 HADI
KWENYE NYUMBA
______
INA VYUMBA VYA KULALA VITANO 5 SEBULE CHOO NDANI
_______
UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 10
_______
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO UMEME MAJI
WW NI KUVUTA TU
______
KUPELEKWA KUONA 25000
KARIBUNI SANA WATEJA
_______
0679447338