Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa kipo mbezi makabe.
Kiwanja cha Tatu kutoka barabara kubwa ya makabe ambayo tayari imeanza kuwekwa lami.
Ukubwa square meters 1000
Bei milioni 90 maongezi yapo
Service charge 20000
Piga 0719190753