Plot for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa chenye Ukubwa wa square meters 700.ndani yake Kuna nyumba ya vyumba viwili ambayo imeishia stop kozi.
Location mbezi makabe kituo Aureke.
Umbali kutoka lami ni mita 700.
Bei milioni 45 maongezi yapo
Piga 0719190753