Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


Simu ni nyingi Kiwanja Kimoja kuwahi kwako ndio kupata kwako niko Mbweni Kiembeni palipo site yetu mpya iliopo karibu na bahari (Beach plot)
Sifa za kiwanja.
- kipo mita 500 kutoka baharini
- Bei mil 18 ukimaliza malipo tunakupatia hati ya wizara
- Huduma muhimu zipo tayari
- km 3 kutoka Mbweni mwisho
Nipigie 0749 060677