Plot for sale at Mjini, Ruvuma


𝐂𝐇𝐀𝐋𝐈𝐍𝐙𝐄 𝐏𝐈𝐍𝐆𝐎 🔥🔥
Kideoni ni Majirani zenu watarajiwa Wa Chalinze Pingo 😊😍
JUMAMOSI SITE 💃
Mradi huu upo 4km kutoka lami
Upo nyuma ya Kiwanda cha Tiles cha TWYFORD (KEDA)
Ni kabla ya Chalinze Mjini ukitokea Dar
Bei sqm@2,000 Lipa kwa miezi 12 Flat
Kiwanja kidogo cha sqm400 (mita 20*20) unanunua kwa laki 8 utalipa 67k kila Mwezi kwa miezi 12
Sqm500 (mita25*20) utanunua kwa 1M utalipa 83,500 kila mwezi
Sqm600 (mita 30*20) Bei 1.2M utalipa laki 1 kila mwezi
Sqm 700 (mita 35*20) Bei 1.4M utalipa 117,000 kila mwezi
Sqm800 (mita 40*20) Bei 1.6M utalipa 133,500
Kwa Raman na Maelezo zaidi #0657907091
#kiwanjanihati
𝙏𝙐𝙋𝙊 𝙇𝙄𝙑𝙀