Plot for sale at Mjini, Ruvuma


BONGE LA KIWANJA BEI MSELELEKO KWA WATOTO WA MJINI WANASEMA BEI KITONGA
KIWANJA KINAUZWA KIWANJA KIPO MAJICHUMVI
MAJI CHUMVI UNAINGILIA KIMARA KOROGWE BARABARA YA ZEGE ITOKAYO KONGOWE KUELEKEA LIVER SIDE UBUNGO
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 1200
BEI MIL 16
MAZUNGUMZO YAPO
KIWANJA KIMEPIMWA BADO HATI
KIWANJA KIPO MITER 150 KUTOKA BARABARA YA ZEGE
KITUO KANISANI
NI PAZULI KUJENGA ARPATIMENT NA MAKAZI
MTEJA ALOSIRIASI HACHOMOKI
BARABARA YA KUINGIA HAPO NI YA KULEKEBISHA
KARIBU SANA MTEJA WAHI UTOE OFFA TUKUHUDUMIE