Plot for sale at Mkalama, Morogoro


KIWANJA CHA PILI KUTOKA LAMI KINA FENSI PANDE ZOTE KINAUZWA MKALAMA JIJINI DODOMA
Mahali; Mkalama
Eneo ukubwa; 600 sq.m
Sifa; Kina HATI
Kina fensi pande zote
Cha pili kutoka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo sehemu nzuri
Bei; 38,000,000/= ( milioni thelasini na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"