Plot for sale at Msalato, Dodoma
Msalato satellite city Dodoma 🔥
Plot no 760
SQM 900
Kipo kwa OFA ya sikukuu tu,
Lipia 5M Leo waweza Anza na 3M.
OFA hii inadumu kwa siku 7 tu zijazo.
Kiwanja hiki kipo mita chache kutoka Ring Road Trip,
Kiwanja hiki kipo mita chache kutoka Airport Mpya,
Kiwanja hiki kimetazama Mradi wa serikali wa makazi mapya 🔥🔥🔥
Tupigie simu site visit ni Bure muda wowote.....