Plot for sale at Mtoni, Dar Es Salaam


NYUMBA YA GHOROFA NZURI SANA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MTONI KIJICHI (TEMEKE MUNICIPALITY)
Nyumba Chini Ina Vyumba Viwil Kimoja Master,Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Pia Juu Kuna Vyumba Sita Kati Ya Ivyo Vitano Ni Master,Store & Study Room
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1500
Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba
Nyumba Iko Mtaa Wa Kishua Sana
Bei : 330 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=