Plot for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam
Mchongo ni mmoja tu, kwa Tsh.67,000 tu unamiliki kiwanja Chalinze tena kiwanja cha sqm 400 (20*20)
Usikae nalo wewe tu washtue na wana ili mfaidike wote😇😇
Mradii upo Chalinze
Ni km 4 tu kutoka barabara kuu hadi kufika kwenye mradi
Bei ya sqm 1 ni Tsh.2,000 tu
Kiwanja cha sqm 400 (20*20) ni Tsh.800,000 tu na utaweza kulipia kidogo kidogo kila mwezi Tsh.67,000
Muda wa malipo ni miezi 12
Unapo maliza malipo yako tu unapata na hati yako, upatikanaji wa Hati ni 100%
Tupigie No. ☎️ 0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala