Plot for sale at Nala, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA NALA CHIHONI BLOCK BH JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 600 sq.m
Kipo kilometer 18 toka Dodoma mjini
Kipo kilometer moja toka lami hadi ring road kwenye kiwanja
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 2,800,000/= ( milioni mbili na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"