Plot for sale at Ntyuka, Dodoma
Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini karibu na Kituo cha stesheni SGR- Dodoma( Chidachi Ntyuka)
Sifa za kiwanja hiki
📌Kipo km 1 kutoka Sgr
📌Km 5 kutoka Dodoma mjini
📌Karibu na hospital ya Dcmc
📌Karibu na kitakapojengwa chuo cha Mwl Nyerere Memorial
📌Kiwanja kimepimwa
📌Kiwanja kina hati
📌Kiwanja hakina migogoro
📌Ukubwa ni sqm 735
📌Ni corner plot
📌Kinafaa kwa makazi na biashara
📌Huduma zote za kijamii zipo kama vile maji, umeme, barabara, shule, hospitali n.k
📌Bei mil 15.5
📌Huduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054