Plot for sale at Ntyuka, Dodoma


Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini karibu na Kituo cha stesheni SGR- Dodoma( Chidachi Ntyuka)
Sifa za kiwanja hiki
đź“ŚKipo km 1 kutoka Sgr
đź“ŚKm 5 kutoka Dodoma mjini
đź“ŚKaribu na hospital ya Dcmc
đź“ŚKaribu na kitakapojengwa chuo cha Mwl Nyerere Memorial
đź“ŚKiwanja kimepimwa
đź“ŚKiwanja kina hati
đź“ŚKiwanja hakina migogoro
đź“ŚUkubwa ni sqm 735
đź“ŚNi corner plot
đź“ŚKinafaa kwa makazi na biashara
đź“ŚHuduma zote za kijamii zipo kama vile maji, umeme, barabara, shule, hospitali n.k
đź“ŚBei mil 15.5 ( malipo ni kwa awamu 3)
đź“ŚHuduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054