Plot for sale at Nzuguni, Dodoma


Kiwanja kizuri sana kinauzwa
Nzuguni DD
Ukubwa 679 sqm
Bei 20m
Kipo 1km toka lami mpya
Ni nyuma ya stendi ya mabasi nanene, soko la job ndugai, karibu na jengo jipya la TBS HQ, kahawa plaza, leaders club, na VIP houses
Pako juu unapata view ya mji wote
Mawasiliano
0628891445
0755690265
#estatedodoma
#dalalidodomajiji
#dodomacity