Plot for sale at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 4, APARTMENTS 6, PLOT SQM.2100, TSHS.130 MILIONI, PUGU/ILALA DAR.
Hapa unaweza kuishe wewe na Familia yako kubwa.
Ukiwa na wapangaji wako 6 nyuma na unayo nafasi ya kujenga zaidi ukipenda.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.2100.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo ni Pugu jirani sana na Barabara ya Lami.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________tp
Nyumba kubwa Ina vyumba vya kulala 4 (Masta 1)
Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Apartment (Vyumba kimojakimoja vipo 6)
Nyumba ina Fensi na pia Gereji ya Gari moja.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.