Plot for sale at Sakina, Arusha


NYUMBA YA GOROFA INAUZWA ARUSHA IPO KTK MTAA WA MOROVIAN KARIBU NA KANISA MOROVIAN LILIPO SAKINA ARUSHA
■BEI MILLION 300 maongezi kidogo
■IPO MITA 400 KUTOKA BARABARA KUU
■UKUBWA WA ENEO NI SQMTS 576 NA HATI MILIKI YENYE UMRI WA MIAKA 66
■INA KISIMA CHA KUBUBUJISHA MAJI WAKATI WOTE NA NAFASI YA MAEGESHO YA GARI 6
■INA VYUMBA 8-6 NI SELF CONTAIN NA VIWILI NI SINGLES ROOM..SITTING ROOM MBILI CHINI NA JUU..OFISI (GOROFANI)..DINING..KITCHEN..STORE YA NJE..JIKO LA NJE...MATANK YA MAJI (9000LTR)
📞0658304822
⭐ NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPER