Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam
Usiende kujenga mbari eti umekosa kiwanja cha bei nafuu ,hii fursa usiiache maan Tabata sasa hivi imeshika hatamu kupata kiwanja cha mil 27 kwa Tabata magengeni sio rahisi
Kiwanja kinauzwa
Tabata magengeni
Bei mil 27
Kuja kuakagua 50000
Maisha ni kujenga ,ila sio kila mahala pakujenga maeneo mengine pakwenda kulima.
#dalalisosotabata#KiwanjaTabata
#KiwanjaInauzwa
#TabataMagengeni
#RealEstateTZ
#FursaYaKiwanja