Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Zipo mbili ndani kila nyumba moja
Kodi laki 400000 kwa nyumba 2 laki. 8
Nyumba zipo tabata ukubwa wa kiwanja
Sqm 1200 ina Hati nyumba inauzwa
Bei ml 150 maongezi yapo nyumba ya
Kuamia tu aina marekebisho kabisa
Frem 4 wanalipa sh 50000 kwa kila moja
Kwenda kukagua nyumba tunachaji
Sh 30000 piga sim
0715422099
0746218111
0784422099