Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA TABATA SEGEREA MIL 250,000,000/=
☎️: 0710013234
☎️: 0754908045
KWA TSHG MILLIONI 250
UMILIKI : HATTI MILIKI YA WIZARA
UKUBWA WA ENEO SQM 702
INA VYUMBA 3 VYA KULALA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM
PIA KUNA SERVANT COTTER YA CHUMBA KIMOJA
IKO MITA 100 TU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
GHARAMA YA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 20,000/=