Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa pamoja na nyumba hapo kama unavyo ona mteja, ukubwa wa eneo square meter 360, panauzwa sh milion 22 maongezi kidogo yapo, mteja changamuka eneo zuri sana na tabambalale hapa panafaa kwa ujenzi wa nyumba za makazi, apartments na n.k
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0653233641
0768682919
#Location tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam Tanzania
#Kutembea kwa mguu dakika 4-6
#kupelekwa kuonyeshwa kiwanja kuanzia kimoja na kuendelea sh 30000
#Bila kusahau %10 ya dalali mchina endapo ununuapo kiwanja
Hakikisha unapiga sim namba hizo hapo juu ogopa matapeli
Tembelea kulasa zangu kuona kazi nyingi zaidi, follow me dalali mchina tabata kinyerezi, istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni round about dar es salaam