Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA:
TABATA BARAKUDA.
Vyumba 3, Kimoja master.
Pembeni kuna ghorofa ya vyumba viwili, vyote master
Kimoja juu, kimoja chini.
Sitting room,✅
dining, ✅
kitchen, ✅
store, ✅
public toilet, ✅
Ac, ✅
garden, ✅
maji, ✅
Umeme ✅️
Nyumba ni nzuri, ndani kuna wapangaji.
BEI: Million 190 maongezi
Nyumba ipo mtaa mzuri
Sqm 600
Eneo lina hati miliki.
Kutoka lami; Mita 800
Piga; 0754 587 611
; 0718 950 277
Karibuni sana