Plot for sale at Tambalale, Tabora
KIWANJA KIZURI MNOO
LOCATION NI MSUGURI UMBALI WA KUTOKA MOROGORO ROAD NI KILOMITA MOJA NA NUSU
UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE MITA 400
BEI NI TSH 25,000,000/
MILIONI ISHIRINI NA TANO MAONGEZI YAPO KIDOGO SANA
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SELEKALI ZA MITAA
ENEO LIPO TAMBALALE YAANI HAKUNA BONDE WALA MLIMA
LINAFIKIKA KIULAISI SANA BODA NI SH 1000 MPAKA SITE
GARAMA YA KUPELEKWA SITE KUKAGUA NI TSH 20,000/
PIGA SIMU...
0652472014
0652472014