Plot for sale at Ubungo, Dar Es Salaam
๐NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA IPO UBUNGO INATAZAMANA NA STAND YA DALADALA MAWASILIANO
๐NYUMBA INAWAPANGAJI TAYARI KUNA MASHINE ZA ATM NA OFISI
๐Bei MIL 600
๐NYUMBA INA HATI ORIGINAL MKONONI NA MMILIKI YUPO HAI
๐NA HUU NDIO MTILILIKO WA JENGO NA KIPATO CHAKE KWA MWAKA
๐Kwa Mashine mbili za ATM ni 25,200,000
kwa mwaka Ofisi za Juu kwa ni 21,600,000
wapangaji wa Chini wapo 7 wanalipa jumla 8,400,000.
Ukijumlisha wapangaji wote unapokea jumla ya *mil 55,200,000* kwa mwaka
KUPELEKWA SITE KUKAGUA TSH 30,000
KARIBU SANA MTEJA
KWA VIDEO NJOO INBOX
0718124109
Boss nakusindikiza kwa uo wimbo karibu