Plot for sale at Wazo, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa lipo Tegeta wazo kontena
barabara mpya ya mivumoni lina ukubwa
wa eneo sqm 6000 bei billion 1 maongezi
eneo lina faa kuwa sheli, super market au
apartment n.k ukitaka sqm 3000
inawezekana karibuni sana kwa
mawasiliano tuwasiliane kwa namba
Dalali Tegeta 0718809744 / 0784234971