Farms for sale at Mamba, Katavi


MIMI JUKUMU LANGU NI KUWAONYESHA TU KAMA YALIYOMO YAMO NA WEWE JUKUMU LAKO NI KUFANYA MAAMUZI 🥰
Hiyo Barabara inaenda kwenye kiwanda cha MAMBA CEMENT na ndio barabara tunayotumia kwenda Mashambani 🔥🔥 WANAWEKA LAMI Ujenzi unaendelea
Sisi Tuna Mashamba huko 15km kutoka lami ya Bagamoyo Road
Bei ya ekari ni 1.5M tu kwa ekari hatuna tamaa 😀
Hiyo 1.5M tunakwambia lipa kwa miezi 15 yaan laki 1 kila mwezi
Mashamba hayo unaweza kulima, Kufuga na Ata kuishi
Naendelea kukumbusha baada ya Muda huku HAKUTAUZWA MASHAMBA tena Kutauzwa VIWANJA
Hujachelewa Jumamos site #0657907091
Maendeleo hufuata watu
Watu hufuata Maendeleo