Farms for sale at Mjini, Ruvuma


SHAMBA LINAUZWA CHINANGALI II DODOMA.
👉47km kutoka mjini na 1km kutoka lami. Ni jirani sana na eneo la BBT CHINANGALI II
👉Lina ukubwa wa ekari 20. Hazijapimwa. Zinafaa kwa mradi wa viwanja, makazi au kilimo.
👉Bei ni milioni 6.6 kwa ekari.