House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA
BEI
TSH. 400,000/= KWA MWEZI.
SIFA
VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER BEDROOM)
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING SPACE KUBWA
** ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI, HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
GARDEN NZURI
PAVING BLOCK
LOCATION
ZIPO NJIA YA KUELEKEA GOBA (BARABARA YA GOBA ) KITUO KWA ROBERT. KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5. USAFIRI NI BODABODA UPO
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177
KWA HUDUMA ZA MAGARI;
tunauza_na_kukodisha_magari_
tunauza_na_kukodisha_magari_