House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam
🗯️Nyumba Kubwa Sana Inayojitegemea kwenye Fensi (Stand Alone)
📍 KIBAMBA CHAMA
📍 Kodi 500,000/= *6
_________
_____
• Vyumba 4 vya kulala (kimojawapo master)
• Sebule kubwa
• Dinning
• Studying Room
• Jiko kubwa
• Store Nje
• Public toilet Nje na Ndani
* Ndani ya fence
* Parking
* Maji yanatoka ndani
#Umbali KM 1 Tu kutoka Morogoro Road
==
#Malipo ya dalali Nasoni ni Tsh 500,000/=
#Service Charge 15,000/=
№:- 0753172516