House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTIMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER KODI NI 180,000X6
Chumba Cha kulala
Sebule
Choo ndani master
Jiko
Bei:180,000 kwa mweziX6
Umbali dakika 8-10 kwa mguu BODABODA/1000
Ndani ya fence lakini parking hakuna
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 1/7/20/24 ILA KUONA NAKULIPIA RUKSA
0655256419